SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA KUTUNGA KAZI ZA FASIHI- KISWAHILI KIDATO CHA NNE
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
80 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Kutunga Mashairi

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kutunga kazi za kifasihi na za kiada kwa kutumia kiswahili sanifu katika miktadha mbalimbali

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:1. Kueleza kanuni za utungaji wa mashairi

5. MAIN TOPIC
KUTUNGA KAZI ZA FASIHI

6. SUB-TOPIC
Utungaji wa mashairi

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Nne, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Matini mbalimbali za mashairi, tenzi na ngonjera. Kanda za sauti zenye mashairi, tenzi na ngonjera zilizoimbwa na kuigizwa

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 10 Kwa kutumia mifano ya mashairi mbalimbali ya kimapokeo mwalimu awaongoze wanafunzi kubaini taratibu za uandishi katika mashairi hayo Wanafunzi katika vikundi wajadili na kubaini vipengele vilivyofanana au kutofautiana katika mashairi hayo. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 40 Mwalimu ahusishe vipengele hivyo na kanuni za utungaji wa mashairi Wanafunzi wakiongozwa na mwalimu kubaini maana za istilahi zinazohusiana na kanuni za utungaji wa mashairi ya kimapokeo Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 10 Ongoza Wanafunzi katika vikundi wajadili istilahi hizo kwa kutumia mifano mbalimbali ya mashairi ya kimapokeo Wanafunzi katika vikundi wajadili istilahi hizo kwa kutumia mifano mbalimbali ya mashairi ya kimapokeo Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 10 Ongoza Wanafunzi katika vikundi wajadili istilahi hizo kwa kutumia mifano mbalimbali ya mashairi ya kimapokeo Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 10 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kazi ya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA KUTUNGA KAZI ZA FASIHI- KISWAHILI KIDATO CHA NNE For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256